ATHARI ZA KUNYONYA SEHEMU ZA SIRI(UKE) KWA KUTUMIA MDOMO WAKATI WA KUFANYA MAPENZI

ATHARI ZA KUNYONYA SEHEMU ZA SIRI KWA KUTUMIA MDOMO WAKATI WA KUFANYA MAPENZI

➡️ Mdomo

Kuna utaratibu ambao siku hizi umeshamiri sana wa Wanaume kuwanyonya wanawake sehemu za Siri(uke) wakati wa kufanya mapenzi. Tabia hii kiafya ni hatari sana na inaweza kuleta madhara makubwa sana kwa Mhusika. 

Huwa unatumia vigezo gani kuchagua mtu wa kumlamba sehemu zake za siri? Una mwamini kiasi gani? Yupo salama?

- FAHAMU

Unaweza kupata maambukizi ya Herpes Simplex au hata kuhamisha Fangasi kutoka Sehemu za Siri kwenda Mdomoni,hivo kukuletea madhara makubwa kwenye Mdomo wako,Lips za Mdomo,Fizi za Meno na hata ulimi pia.



Hii ni picha ya mtu mwenye Herpes simplex,tatizo ambalo pamoja na sababu zingine husababishwa na kushiriki tendo la ndoa kwa kutumia midomo. Linaweza pia kutokea kwenye sehemu za siri za mhusika. Epuka kutumia midomo yako kulamba sehemu za siri za mtu usiye mwamini sana. Ni hatari sana,kwani unaweza kuamka siku moja kutoka usingizini ukakuta mdomo wako umevimba hivi

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Karibu Sana..!!!

0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!