MAUMIVU WAKATI WA TENDO LA NDOA

 MAUMIVU WAKATI WA TENDO LA NDOA

➡️ Post

Wanawake wengi wamekuwa wakilalamika Juu ya Tatizo hili siku hizi.

Wengine Hata kushindwa kabsa Kushiriki Tendo la Ndoa,kwa kuogopa Maumivu ambayo wamekuwa wakiyapata Wakati wa Tendo la Ndoa.


VISABABISHI VYA MAUMIVU MAKALI WAKATI WA TENDO LA NDOA

(1)Kuvimba kwa Kuta za Uke- Na hii huweza kuusababishwa na FANGASI aina ya CANDIDA ALBICANS au BACTERIA

(2)Uvimbe wa Kizazi au Shingo ya Kizazi Huweza kuleta hali hii ya Maumivu makali wakati wa Tendo la Ndoa

(3)Mirija ya kizazi kuziba-Hali hii inaweza kukuletea maumivu makali wakati wa Tendo la Ndoa

(4)Kansa ya Shingo ya Kizazi-Mojawapo ya dalili za kansa ya shingo ya kizazi ni mwanamke kupata maumivu makali wakati wa Tendo la Ndoa

(5)Ukavu wa sehemu za siri-Hali hii huweza kupelekea maumivu makali pamoja na michubuko sehem za Siri wakati wa Tendo la Ndoa





KUMBUKA; JUKUMU LANGU KWAKO,NI KUKUSHAURI,KUKUELIMISHA NA KUKUPA MSAADA WA KIAFYA PALE INAPOHITAJIKA


@kwa ushauri/Elimu/Tiba mawasiliano ni +255758286584 Tuma Ujumbe utahudumiwa kwa Haraka zaidi.

Karibu Sana..!!

0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!