TATIZO LA HORMONE IMBALANCE(MVURUGIKO WA VICHOCHEO VYA MWILI)
➡️ Ombeni Mkumbwa
Utangulizi
Hormone Imbalance au kwa kiswahili Mvurugiko wa vichocheo vya mwili ni tatizo linalohusu kubalika kwa Hormones au vichocheo vyako vya mwili,ambapo mabadilko hayo huhusisha kuongezeka au kupungua kwa vichocheo vya mwili wa mtu.
Tatizo la Hormone Imbalance Linawatesa wanawake wengi na zipo dalili nyingi sana za Ugonjwa huu.Soma baadhi hizi
Dalili za Mvurugiko wa Homoni:-
• Kutokwa na Damu nyingi kwa muda mrefu
• Kukosa hedhi
• Kuingia hedhi kwa Muda mrefu kuliko kawaida
• Kushindwa kubeba ujauzito
• Hedhi kubadilika balika
• Kusikia Maumivu makali ya tumbo wakati wa hedhi
#afyacheck_
KAMA UNA TATIZO HILI TUWASILIANE HAPO KWENYE COMMENT AU TUMIA NAMBA +255758286584 UPATE MSAADA.
KUPATA DALILI ZA MIMBA WAKATI WEWE SIO MJAMZITO
➡️ Ombeni Mkumbwa
Hali hii inawasumbua wanawake wengi saiv na Kujikuta wanapima mimba kwa Kutumia kipimo cha Mkojo maarufu kama UPT (URINARY PREGNANCY TEST) Kila dakika lakini wanakuta wana dalili zote za Mimba na Mimba hawana au kipimo hakisomi Ujauzito.
Moja ya sababu Kubwa ya Tatizo hili ni hormone Imbalance.Au mvurugiko wa Vichocheo vya mwilini,Ambapo ikitokea hiii hali huleta mabadiliko mengi mwilini ikiwemo Kuwa na Dalili za Mimba alafu Mimba huna,Maziwa kutoka yenyewe wakati wewe sio mjamzito wala hunyonyeshi n.k
ZIJUE BAADHI YA DALILI ZA MVURUGIKO WA VICHOCHEO MWILINI
-Kuwa na mzunguko wa hedhi unaobadilika badilika
-Kublid mara mbili au zaidi ndani ya mwezi Mmoja
-Kubeba mimba na kutoka zenyewe
-Kutokwa na Maziwa kwenye chuchu wakati wewe sio mjamzito wala
hunyonyeshi
-Kupata chunusi sana usoni
-Kutokuona siku zako kwa mda mrefu
-Kushindwa kubeba mimba
-Kuota Ndevu wakati wewe ni mwanamke n.k
☑️ SUMMARY
Katika makala hii tumezungumzia mambo yafuatayo;
(1) Utangulizi wa makala hii au Introduction kwa Kingereza
(2) Dalili za Mvurugiko wa vichocheo vya mwili au Hormone Imbalance
(3) Maelekezo ya kupata ushauri,elimu au tiba kama Una tatizo lolote
KUMBUKA; JUKUMU LANGU KWAKO NI KUKUSHAURI,KUKUELIMISHA NA KUKUPA USHAURI WA KIAFYA PALE INAPOHITAJIKA
@kwa ushauri/Elimu/Tiba mawasiliano ni +255758286584. Tuma Ujumbe utahudumiwa kwa Haraka zaidi.
#afya #Uzazi #hormoneimbalance #mwanamke
VISABABISHI
➡️ Ombeni Mkumbwa
Tatizo hili la Kutapika huchangiwa na baadhi ya vitu mbali mbali kama;
(1)Magonjwa kama UTI,PID n.k
(2)Ujauzito
(3)Mabadiliko ya vichocheo mwilini ikiwemo tatizo la Hormone imbalance
(4) Ugonjwa Wa Malaria.
KUMBUKA; JUKUMU LANGU KWAKO NI KUKUSHAURI,KUKUPA ELIMU NA KUKUPA MSAADA WA KIAFYA PALE INAPOHITAJIKA. Mawasiliano ni +255758286584 Tuma ujumbe utajibiwa kwa Haraka zaidi.
Magonjwa mengi huonyesha dalili kama hii,kwahyo ni vizuri kufanya vipimo kwanza kabla ya kuanza matibabu.
Karibu Sana..!!
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!