FAIDA ZA VIDONGE VYA FOLIC ACID KWA MAMA MJAMZITO

ZIJUE FAIDA ZA VIDONGE VYA FOLIC ACID KWA MAMA MJAMZITO

➡️ Folic acid/FEFOL

Vidonge vya Folic acid maarufu kama vidonge Vyekundu,ni vidonge ambavyo mama hupewa akihudhuria kliniki,japo kuna wakina mama wengi huvitupa baada ya kupewa hospital kwani wengi hawajui umuhimu mkubwa wa vidonge hivi.

Faida ya vidonge vya Folic acid ni Pamoja na;

✓ Moja ya Faida za Vidonge vya FEFOL AU FOLIC ACID ni kuongeza Damu kwa mama mjamzito kwani damu nyingi ya mama hupotea wakati wa kujifungua hivo kusaidia kumkinga mama na tatizo la kuwa na damu ndogo  

 ✓ Faida nyingine ya Vidonge vya FOLIC ACID ni pamoja na kupunguza tatizo la watoto kuzaliwa na VICHWA VIKUBWA

 ✓ Kupunguza tatizo la watoto kuzaliwa na MGONGO WAZI

Hivi vyote ni kwasababu Folic acid huhusika moja kwa moja katika uumbaji wa mtoto hasa eneo la Uti wa Mgongo,hivo kutatua tatizo hili kwa watoto

  ✓PAMOJA NA KUONGEZA DAMU KWANI DAMU NYINGI HUPOTEA KIPINDI CHA KUJUFUNGUA

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Karibu Sana..!!!



0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!