GANGRENE TATIZO LINALOWAPATA SANA WAGONJWA WA KISUKARI

GANGRENE

• • • • • •


gangrene ni tatizo ambalo linawapata Sana wagonjwa wa kisukari , husababisha sehemu ya mwili kubadilika rangi na tissues za sehemu hiyo kufa jambo ambalo hupelekea mzunguko wa damu usifike sehemu hiyo, 


Tatizo hili husambaa kwa haraka kwenye viungo vya mwili na lisipo tibiwa kwa haraka hupelekea mgonjwa kukatwa viungo na muda mwingine kusababisha kifo,


Tatizo hili linatibika katika hatua za awali hivyo ukimuona mgonjwa wa kisukari kaanza kuonesha dalili hizi wahi mapema umpatie suluhisho

#kisukari #gangrene #suluhisho




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!