YAPI NI MADHARA YA KUWEKA NYWELE DAWA?
Kemikali hizi hupenya kwenye ngozi, na wakati mwingine hata kwa harufu tu unayovuta ya kemikali hizi,na kusababisha uzalishaji wa vichocheo vya oestrogen kwa wingi na kuleta fibroids”-anasema Dk. Chipata
Hivo basi, Kutokana na Utafiti huo,Matumizi ya Dawa za Nywele sio salama kwa afya ya Mwanamke,kwani humuweka katika Hatari ya kupata Uvimbe wa Kizazi ( FIBROIDS) au Myoma.
KUMBUKA; Kinga Ni Bora kuliko tiba, kwahyo ni bora kuepuka vitu ambavyo huweza kukuletea madhara makubwa katika afya yako.
Kama pia unapata dalili kama;
- Maumivu wakati wa Tendo la Ndoa
- Kuvuja damu wakati wa tendo la ndoa
- Maumivu makali chini ya kitovu
- Kublid katikati ya mwezi
Waone wataalam wa afya kwa ajili ya Uchunguzi zaidi.
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!