SHIDA YA UUME KUSHINDWA KUSIMAMA NA KUFANYA KAZI VIZURI WAKATI WA TENDO LA NDOA. (ERECTILE DYSFUNCTION)
ERECTILE DYSFUNCTION
• • • • • •
SHIDA YA UUME KUSHINDWA KUSIMAMA NA KUFANYA KAZI VIZURI WAKATI WA TENDO LA NDOA. (ERECTILE DYSFUNCTION).
Kutokana na Mfumo wa maisha yetu,kazi tunazofanya,vyakula tunavyokula au mtindo wa maisha kwa ujumla, tunajikuta kupata madhara mbali mbali katika miili yetu pasipo kujua sababu hasa ni ipi.
Tatizo hili la uume kushindwa kusimama na kufanya kazi vizuri,huwatokea wanaume wengi kwa hivi sasa, na kusababisha madhara makubwa yakiwemo ya mahusiano au Ndoa kuvunjika.
JE SABABU ZA TATIZO HILI NI ZIPI?
✓ Uchovu mzito wa mwili kutokana na shuhuli nyingi za Siku nzima
✓ Kuwa na shida ya msongo wa mawazo au Stress huweza kusababisha hali hii
✓ Kutawaliwa na wasiwasi pamoja na hofu kubwa wakati wa tendo la Ndoa
✓ Matumizi ya madawa ya kulevya pamoja na Uvutaji wa Sigara
✓ Kuwa na umri mkubwa
✓ Ukiwa unatumia baadhi ya Dawa flani
✓ Kuwa na shida ya uzito kupita kiasi au Unene huweza pia kuchangia hali hii
✓ Kuwa na historia ya kupata tatizo katika sehemu za siri siku za nyuma
✓ Kuwa magonjwa mbali mbali kama magonjwa ya moyo, presha au kisukari.
DALILI ZA TATIZO HILI LA ERECTILE DYSFUNCTION
- Hamu ya tendo la Ndoa kupote kabsa au kukosa hisia za kufanya mapenzi
- Kupata wasiwasi kabla ya kuanza kufanya mapenzi kuhusu kumridhisha mwenzako
- Hali ya uume kusinyaa mapema
- Hali ya uume kushindwa kusimama kabsa
- Uume kunyong'onyea wakati wa tendo la ndoa
- N.k
TIBA YA TATIZO HILI
Mgonjwa atatibiwa baada ya chanzo cha tatizo kujulikana hivo matibabu yake yatahusu chanzo cha tatizo lake,ambapo kwa ujumla wake, Mgonjwa anaweza kupewa ushauri wa kumsaidia kukaa sawa, mtindo wa maisha kuubadilisha ikiwemo vyakula,kazi n.k Pamoja na dawa kama shida itahitaji dawa pia.
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!