JE NATOKWA NA UCHAFU UKENI KAMA MAZIWA MTINDI NI TATIZO GANI?(swali la wanawake wengi,soma majibu hapa)

 UCHAFU

• • • • • •

JE NATOKWA NA UCHAFU UKENI KAMA MAZIWA MTINDI NI TATIZO GANI?(swali la wanawake wengi,soma majibu hapa)


MAJIBU


Ni kweli kutokwa na uchafu ukeni kama maziwa mtindi ni kiashiria kikubwa kwamba kuna kitu hakipo sawa. Na mara nyingi uchafu huu huambatana na harufu au Miwasho katika sehemu za siri za Mwanamke.


Hiyo ni dalili ya tatizo la fangasi ukeni, ambapo kwa asilimia kubwa wanawake hushambuliwa na Fangasi jamii ya Candida Albicans, Fangasi hawa hupenda sana kushambulia maeneo ya sehemu za Siri.


Hivo endapo unatokwa na uchafu wenye rangi kama maziwa,na umeganda kama maziwa mtindi, na wakati mwingine huambatana na miwasho pamoja na harufu kali ukeni. Basi wewe una tatizo la Fangasi wa ukeni.


Kama una dalili hizo usikae kimya na kuteseka na shida hii,tuwasiliane ili upate msaada. 


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.





0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!