Ticker

6/recent/ticker-posts

NJIA YA UZAZI WA MPANGO AINA YA KIJITI(au kwa jina lingine kipandikizi)



 KIPANDIKIZI

• • • • •

NJIA YA UZAZI WA MPANGO AINA YA KIJITI(au kwa jina lingine kipandikizi)


Hii ni njia ya uzazi wa mpango ambayo hutumiwa na idadi kubwa ya wanawake, ikiwemo wale ambao wametumia njia nyingine za uzazi wa mpango kama sindano baada ya kupata madhara wakahamia hapa,pamoja na watumiaji  wengine ambao ni wapya.


Njia ya kijiti imegawanyika katika aina mbili kulingana na muda wa kuzuia mtu asipate mimba. Makundi hayo ni kama ifuatavyo;


(i). Kuna kijiti cha miaka 3; Hiki huzuia mimba katika kipindi cha miaka mitatu.


(ii). Kuna kijiti cha miaka 5; ambapo hapa vinakuwa vijiti viwili ambavyo huwekwa vyote kwa pamoja na kuzuia mimba kwa kipindi cha miaka mitano.


MAUDHI YA NJIA HII AU KWA KITAALAM SIDE EFFECTS ZA NJIA HII YA KIJITI


- Kupatwa na maumivu makali ya kichwa mara kwa mara


- Kubadilika kwa mzunguko wako wa hedhi


- Kupata blid ya vitone vitone ambavyo havieleweki na vinavyotoka bila mpangilio


- Kupatwa na shida ya mvurugiko wa vichocheo vyako vya mwili


- Kupata maumivu sehemu kilipowekwa kwa siku za mwanzoni


- Kupatwa na hali ya kichefuchefu cha mara kwa mara


- Baadhi kuongeza uzito


- Na kwa baadhi kukonda pia


- Kublid damu nyingi na kwa muda mrefu kwa baadhi ya watu


- Kukaa muda mrefu pasipo kuona sku zako za hedhi

N.K


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.







Post a Comment

0 Comments