KUKOSA USINGIZI
• • • • •
MWANGA WA SIMU AU COMPUTER NA KUKOSA USINGIZI
Je una tatizo la kukosa usingizi alafu unatumia sana simu au computer wakati wa usiku?
watu wengi hawafahamu kwamba mwanga wa simu,laptoop au Computer huweza kuwa sababu tosha ya kusababisha usipate usingizi.
Mwanga wa Simu,laptoop,computer au vifaa vingine jamii ya hivi huwa na athari mbali mbali ikiwa ni pamoja na kuathiri uwezo wa macho kufanya kazi endapo utatumia kwa muda mrefu sana
MWANGA WA SIMU AU COMPUTER NA KUKOSA USINGIZI
- Mwanga wa simu,laptoop,computer N.K huweza kuzuia uzalishwaji wa Kichocheo cha usingizi ambacho kwa kitaalam hujulikana kama Melatonin hormone pamoja na kudhoofisha ufanyaji kazi wake na kusababisha tatizo la kukosa usingizi kabsa kwa mtumiaji wa vifaa hivi.
Hivo matumizi ya simu,laptoop,computer N.K wakati wa usku huweza kuwa chanzo kimojawapo cha tatizo la mtu kukosa usingizi
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
afya
afyaclass
afyatips
magonjwa
magonjwa ya wanaume
magonjwa ya wanawake
magonjwa ya watoto
makala
muhimu
new
post
uzazi
videos
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!