WATOTO
• • • • •
UGONJWA WA LAWALAWA KWA WATOTO
Je umewahi kusikia ugonjwa wa lawalawa kwa watoto?
Hili ni neno ambalo limetumika kwa jamii zetu nyingi, huku wengine wakiwa na maana ambazo zinatofautiana.
Wengine hufahamu ugonjwa wa lawalawa kama ugonjwa wa UTI kwa watoto
Wengine husema ni ugonjwa unaotokana na mtoto kupenda kula Pipi yaani Lawalawa.
Soma: Dalili za Ugonjwa wa Fangasi wa kichwani
Lakini kiuhalisia Neno Lawalawa lina maana ya Pipi, hivo kwa namna moja au nyingine ukiambiwa ugonjwa wa lawalawa kwa watoto mbali na tafsri yako kwenye jamii,unaweza kusema ni ugonjwa unaotokana na ulaji sana wa pipi(lawalawa) kwa watoto wadogo.
PIPI huweza kusababisha madhara mbali mbali kwa mtoto kama vile; Mtoto kuoza meno au kuwa na matatizo ya meno kutokana na mashambulizi ya bakteria wanaozaliana kutokana na mabaki ya pipi kwenye meno, hivo bakteria hawa kuanza kula kwa wingi mabaki hayo.
Hivo ulaji wa pipi mara kwa mara sio salama kwa mtoto wako, epuka kumpa mtoto mdogo pipi kila mara.
Soma: Dalili za Ugonjwa wa Fangasi wa kichwani
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!