BINADAMU MWENYE AFYA ANATAKIWA APATE CHOO MARA NGAPI KWA SIKU?
SWALI
• • • •
BINADAMU MWENYE AFYA ANATAKIWA APATE CHOO MARA NGAPI KWA SIKU?
Swali ambalo unaweza kujiuliza ili kujua kwamba je unapata choo kama inavyotakiwa au una tatizo?
Kwa hivi sasa watu wengi hupata tatizo la kukosa choo kabsa, au kupata choo kigumu ambacho huambatana na maumivu makali,michubuko, damu n.k
JE BINADAMU MWENYE AFYA ANATAKIWA APATE CHOO MARA NGAPI KWA SIKU?
Binadamu mwenye afya anatakiwa Siku isipite bila kwenda Chooni, Na kama unakula chakula vizuri na kushiba unaweza kujisaidia kuanzia mara mbili au Tatu kwa siku.
Je wewe unajisaidia vizuri? au una tatizo la kukosa choo kabsa, kubata choo kigumu au maumivu makali wakati wa kujisaidia?
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!