Ticker

6/recent/ticker-posts

MADHARA YA WANAWAKE KUSAGANA AU KUJICHUA



 WANAWAKE

• • • • •

MADHARA YA WANAWAKE KUSAGANA AU KUJICHUA


Kama ilivyo madhara kwa wanaume wanaopiga punyeto au puchu hata kwa wanawake wanaosagana au kujichua kuna madhara yake pia.


MADHARA YA WANAWAKE KUSAGANA AU KUJICHUA NI PAMOJA NA;


- Kuharibika Nerves kwa kiasi kikubwa katika eneo la kinembe au Clitoris hali ambayo husababisha mwanamke kuwa vigumu sana kuridhika na kufurahia wakati akifanya mapenzi na mwanaume.


- Mwanamke kuanza kukonda  na mwili kuwa dhaifu sana kama hatazingatia ulaji mzuri wa chakula


- Kuathiriwa kwa utendaji kazi wa tezi la Bartholin hali ambayo huweza kupelekea kupungua hali ya ute ute na unyevu unyevu ukeni


- Sehemu za siri au uke kulegea sana


- Kuanza  kupata maumivu ya mara kwa mara ukeni


- Huweza kusababisha mwanamke kukosa kabsa hamu ya kufanya mapenzi na mwanaume


- Athari huweza kuonekana hadi kwenye kizazi(mara chache sana)


n.k


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.






Post a Comment

0 Comments