MATATIZO AMBAYO MWANAMKE HUWEZA KUYAPATA BAADA YA KUFIKIA UKOMO WA HEDHI(menopause)
MENOPAUSE
• • • • •
MATATIZO AMBAYO MWANAMKE HUWEZA KUYAPATA BAADA YA KUFIKIA UKOMO WA HEDHI(menopause)
Ukomo wa hedhi au kwa kitaalam hujulikana kama menopause ni hali ambayo hutokea kwa mwanamke yoyote ambaye umri umeenda.
Hali hii huweza kutokea katika kipindi cha miaka 45,50,51 N.K kwa wanawake wengi, japo kuna ambao huweza kuwahi zaidi na wengine kuchelewa kidogo.
Kuna baadhi ya matatizo ambayo mwanamke huweza kuyapata baada ya kufikia kipindi cha ukomo wa hedhi japo sio kwa kila mwanamke.
MATATIZO AMBAYO HUWEZA KUTOKEA BAADA YA MWANAMKE KUFIKIA UKOMO WA HEDHI
- Kuwa na shida ya mifupa ya mwili kukosa nguvu na kuwa dhaifu
- Mwanamke kuishiwa kabsa na hamu ya kufanya tendo la ndoa
- Mwanamke kuwa na shida ya kukauka kwa ute sehemu zake za siri
- Mwili kuvuja jasho sana kipindi ukiwa umelala kuliko vipindi vingine vya maisha.
- Mwanamke kuanza kupata maumivu wakati akishiriki tendo la ndoa
- Mwanamke kutobeba mimba tena au kupoteza kabsa uwezo wa kubeba mimba
N.K
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA KWA TATIZO LOLOTE TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!