KEGEL
• • • • •
MAZOEZI YA KEGEL NA FAIDA ZAKE
Mazoezi ya Kegel ni mazoezi ambayo huweza kufanywa kama Tiba kwa mtu, na mazoezi haya huhusisha eneo la kiuno pamoja na sehemu ya chini ya mwili,
- Mazoezi haya husaidia sana kuimarisha na kusababisha mifupa ya nyonga, Misuli ya Nyonga na maeneo ya chini ya mwili kama miguuni kuwa Imara zaidi,
- Mazoezi haya ni muhimu sana kwenye Afya ya uzazi kwa wanawake na wanaume
- Mazoezi haya huimarisha utendaji kazi wa kibofu cha mkojo,misuli yake, ikiwa ni pamoja na uwezo wa kudhibiti utokaji na uhifadhi wa Mkojo kwenye kibofu.
Mazoezi haya huweza kufanywa kwa Wanaume na wanawake pia.
- Mazoezi haya ya Kegel huweza kuimarisha uwezo wa mwanaume katika kushiriki tendo la ndoa
- Mazoezi haya husaidia sana kwa watu wenye tatizo la kushindwa kubana mkojo
- Mazoezi ya kegel pia husaidia sana kwa wamama ambao wanapata tatizo la kuwa na kiuno kigumu,maumivu n.k hasa baada ya kubeba ujauzito kwa muda mrefu
JINSI YA KUFANYA MAZOEZI YA KEGEL
Zipo aina mbali mbali za jinsi ya kufanya Mazoezi ya KEGEL kama hapa chini;
1. Tazama Picha hapa Chini;
Unaweza kufanya mazoezi ya Kegel kwa kukaa chini halafu unakunja miguu kama hapo kwenye picha
2. Tazama Picha ya pili hapo chini; Huu ni mfano mwingine wa jinsi ya kufanya mazoezi ya KEGEL, Unalala chini ukiwa umelalia sehemu ya tumbo halafu unakunja miguu na mikono kama hivyo
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!