Connect with us

afyatips

MAZOEZI YA KEGEL NA FAIDA ZAKE(na jinsi ya kufanya KEGEL)

Doctor Ombeni

Published

on

 KEGEL

• • • • •

MAZOEZI YA KEGEL NA FAIDA ZAKE


Mazoezi ya Kegel ni mazoezi ambayo huweza kufanywa kama Tiba kwa mtu, na mazoezi haya huhusisha eneo la kiuno pamoja na sehemu ya chini ya mwili,


– Mazoezi haya husaidia sana kuimarisha na kusababisha mifupa ya nyonga, Misuli ya Nyonga na maeneo ya chini ya mwili kama miguuni kuwa Imara zaidi, 


– Mazoezi haya ni muhimu sana kwenye Afya ya uzazi kwa wanawake na wanaume


– Mazoezi haya huimarisha utendaji kazi wa kibofu cha mkojo,misuli yake, ikiwa ni pamoja na uwezo wa kudhibiti utokaji na uhifadhi wa Mkojo kwenye kibofu.


Mazoezi haya huweza kufanywa kwa Wanaume na wanawake pia.


– Mazoezi haya ya Kegel huweza kuimarisha uwezo wa mwanaume katika kushiriki tendo la ndoa


– Mazoezi haya husaidia sana kwa watu wenye tatizo la kushindwa kubana mkojo


– Mazoezi ya kegel pia husaidia sana kwa wamama ambao wanapata tatizo la kuwa na kiuno kigumu,maumivu n.k hasa baada ya kubeba ujauzito kwa muda mrefu


JINSI YA KUFANYA MAZOEZI YA KEGEL


Zipo aina mbali mbali za jinsi ya kufanya Mazoezi ya KEGEL kama hapa chini;


1. Tazama Picha hapa Chini;

 

Unaweza kufanya mazoezi ya Kegel kwa kukaa chini halafu unakunja miguu kama hapo kwenye picha



2. Tazama Picha ya pili hapo chini; Huu ni mfano mwingine wa jinsi ya kufanya mazoezi ya KEGEL, Unalala chini ukiwa umelalia sehemu ya tumbo halafu unakunja miguu na mikono kama hivyo




3. Tazama picha ya tatu, Mazoezi mengine ya KEGEL ni kama hapo chini kwenye picha, unashuka chini halafu goti moja limegusa chini ya Ardhi,mguu mmoja umeinua juu na Mikono yako miwili ipo chini kama unavyoona hapa;



KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

✚

Ushauri,Elimu,Tiba

Medical Consultation: Karibu afyaclass Kwa Ushauri na Tiba, Kama una Tatizo lolote la kiafya, tafadhali Wasiliana na Daktari moja kwa moja hapa || Call au Sms(+255758286584) au Whatsapp.

Je, unahitaji ushauri binafsi au matibabu ya tatizo lolote?

💬 Wasiliana na Daktari Hapa(Whatsapp)

🏆Certified| Doctor from Afyaclass. Maudhui haya ni kwa ajili ya elimu ya jumla ya afya. Unapohitaji ushauri wa kina, uchunguzi, au matibabu binafsi, wasiliana na daktari kupitia namba:+255758286584.Pia tufwatilie kupitia: @Facebook | @Instagram | @YouTube.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Guest Avatar

LATEST POSTS

magonjwa ya wanawake13 hours ago

Madhara ya kuvurugika kwa homoni za kike (Hormonal Imbalance in women)

Kuvurugika kwa hormone au vichocheo ni nini? Kuvurugika kwa hormone au vichocheo hutokea pale mwili unapozalisha homoni kwa kiwango kikubwa...

Hospital22 hours ago

Muhimbili kufanya upasuaji wa kurejesha nguvu za kiume (Penile Implant Surgery)

Muhimbili kufanya upasuaji wa kurejesha nguvu za kiume (Penile Implant Surgery) Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila imeendelea kuboresha huduma za kibingwa...

magonjwa ya watoto23 hours ago

Tatizo La Mtoto Kuzaliwa Kabla Ya Wakati wake(premature birth)

Tatizo La Mtoto Kuzaliwa Kabla Ya Wakati wake(premature birth) Maana ya mtoto njiti (Preterm Birth) Mtoto njiti ni mtoto anayezaliwa...

Afya News23 hours ago

Vifaa Tiba vya TSH.BILIONI 1.2 Kuimarisha huduma za dharura ya Uzazi na watoto wachanga

VIFAA TIBA VYA TSH.BILIONI 1.2 KUIMARISHA HUDUMA ZA DHARURA YA UZAZI NA WATOTO WACHANGA Na Mvuda Jaffer, WAF – Arusha...

Afya News4 days ago

Jukwaa la takwimu za afya barani Afrika kuanza rasmi Nairobi, Kenya

Jukwaa la takwimu za afya barani Afrika kuanza rasmi Nairobi, Kenya Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani (WHO),...

Patient Stories5 days ago

Glaucoma ilimnyang’anya uwezo wa kuona, lakini mikono yake ilimpa kusudi jipya la maisha

Glaucoma ilimnyang’anya uwezo wa kuona, lakini mikono yake ilimpa kusudi jipya la maisha Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 50...

Stars Health5 days ago

Joe biden aeleza hali yake ya saratani ya tezi dume kwa Sasa

Aliyekuwa Rais wa Marekani, Joe Biden, ameeleza kuwa ugonjwa wa saratani ya tezi dume (Prostate Cancer) unaendelea kuathiri shughuli zake...

Story5 days ago

Baadhi ya Watu huweza kuishi kwa kulala muda mfupi sana

Baadhi ya Watu huweza kuishi kwa kulala muda mfupi sana Baadhi ya watu wanaweza kuishi vizuri kwa usingizi mfupi sana....

masikio5 days ago

Madhara ya Masikio kupiga kelele (tinnitus) ni yapi?

Madhara ya Masikio kupiga kelele (tinnitus) Masikio kupiga kelele ni tatizo la kiafya linalojulikana kitaalamu kama Tinnitus. Hali hii hutokea...

Utafiti6 days ago

Utafiti: Wanawake nchini Kenya wanazaa watoto wachache kadiri vifo vya wajawazito vinavyoendelea kuwa changamoto

Utafiti mpya wa afya ya uzazi nchini Kenya umeonesha kuwa idadi ya watoto wanaozaliwa na mwanamke mmoja imeendelea kupungua, huku...