VOICE PROBLEM
• • • • • •
CHANZO CHA MATATIZO KATIKA SAUTI YA MTU au Voice problem
Mara nyingi matatizo kwenye Sauti ya mtu ikiwa ni pamoja na tatizo la Sauti kuacha kutoka au kukauka, sauti kukwaruza, n.k huhusisha maeneo makuu mawili yaani kifuko cha Sauti(Voice Box,Larynx), Pamoja na Vocal cords
CHANZO CHA MATATIZO KATIKA SAUTI YA MTU au Voice problem
• Matatizo kwenye sauti ya mtu huweza kutokana na Eneo la VOCAL CORD kupata shida mbali mbali kama vile; Kuvimba, Kukuwa kupita kawaida, kupooza au kuparalyze n.k
• Matatizo kwenye mfumo wa nerves, Polyps N.k
SABABU AMBAZO HUONGEZA UWEKANO WA MTU KUPATA MATATIZO YA SAUTI NI PAMOJA NA;
- Mtu kuwa na umri mkubwa sana au Kuzeeka
- Matumizi ya Pombe
- Uvutaji wa sigara
- Kuwa na shida ya Allergies
- Maambukizi ya vimelea vya magonjwa kama Bacteria kwenye njia ya hewa, Mafua n.k
- Matatizo kwenye mfumo wa Fahamu
- Kuwa na shida ya Kansa ya Koo
N.k
MATIBABU YA TATIZO HILI
✓ Matibabu ya tatizo hili hutegemea na chanzo chake,mfano kama chanzo ni uvimbe,basi mgonjwa hupewa dawa za kuondoa uvimbe, Kama ni Kansa, hupata matibabu ya kansa,
Pamoja na kuacha tabia hatarishi kama vile;
- Uvutaji wa Sigara
- Unywaji wa Pombe
N.k
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
afya
afyaclass
afyatips
magonjwa
magonjwa ya wanaume
magonjwa ya wanawake
magonjwa ya watoto
makala
mpya
muhimu
new
post
uzazi
videos
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!