MADHARA YA KUTUMIA PODA KWA WATOTO WADOGO

  PODA

• • • • •

MADHARA YA KUTUMIA PODA KWA WATOTO WADOGO


Wakina mama wengi huwapaka watoto poda kwa Sababu mbali mbali kama vile; Kwa ajili ya kuondoa harufu mbaya kwa mtoto,kumkinga mtoto na vipele n.k


Bila shaka unaweza kuwa miongoni mwa watu ambao hujiuliza,je mtoto mdogo kupakwa poda ina madhara gani?


Hakuna Majibu ya moja kwa moja ambayo huhusishwa na madhara kwa watoto juu ya matumizi ya PODA.


Japo kuna baadhi ya tafiti zinasema kwamba;


Matumizi ya poda kama Talcum Powder huweza kuleta madhara kwa mtoto kama vile kwenye mfumo wa upumuaji,mapafu n.k hasa baada ya mtoto kuvuta ule unga au kuula.


Pia matumizi ya poda huweza kuhusishwa na Mtoto kuhifadhi wadudu wa magonjwa mbali mbali kama vile Bacteria hasa pale Poda ikiwa imepakwa maeneo ya mikunjo kama shingoni,sehemu za siri n.k


- Poda huweza kuwa chanzo cha tatizo la Fangasi kwa watoto


- Pia mtoto huweza kupatwa na shida ya miwasho,ngozi kubadilika rangi,vipele n.k, Hasa baada ya mtoto kupata allergy kutokana na matumizi ya poda kwenye mazingira machafu au kutumia Powder zilizokwisha muda wake(expired)



KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.



0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!