Others
MAMBO YAKUZINGATIA WAKATI WA KULA CHAKULA NA BAADA YA KULA CHAKULA
CHAKULA
• • • • •
MAMBO YAKUZINGATIA WAKATI WA KULA chakula NA BAADA YA KULA chakula
kuna mambo muhimu sana unatakiwa kuyazingatia wakati wa kula chakula na muda mfupi baada ya kula chakula,mambo hayo ni kama vile;
Chat Nasi Whatsapp
"Ungana na Wasomaji zaidi ya 12,000 wanaopata huduma ndani ya afyaclass, Kama unachangamoto yoyote ya kiafya; Kwa Ushauri&Tiba tuwasiliane hapa kupitia WhatsApp, Kama huna Whatsapp tuma SMS au Piga +255758286584."
Chat WhatSapp Hapa– Epuka kuongea au kucheka wakati wa kula chakula, tabia hii huweza kusababisha mtu kupaliwa na chakula au kumeza kiwango kikubwa cha hewa ambacho huweza kusababisha madhara mbali mbali kama vile, tumbo kujaa gesi,tumbo kuuma n.k
– Epuka kulala muda mfupi tu baada ya kula chakula cha usiku, kaa kidogo kwa muda ndyo uende kulala
– Kunywa maji ya kutosha ili kusaidia mmeng’enyaji mzuri wa chakula
– Epuka kula chakula pamoja na Pombe
– Epuka kula chakula huku unavuta sigara
– Kula chakula ambacho kina mchanganyiko wa virutubisho vyote katika kiwango sahihi, na epuka kula chakula ambacho kina virutubisho vya aina moja na kwa kiwango kikubwa
– Matunda ni muhimu sana kwenye kila mlo wako unaokula
– Epuka kunywa chai au kahawa pamoja na chakula kwani kuna baadhi ya vyakula huathiriwa umeng’enyaji wake na vitu kama hivi(chai au kahawa/caffeine)
KINGA ni BORA kuliko TIBA, zingatia afya yako
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
Ushauri,Elimu,Tiba
Medical Consultation: Karibu afyaclass Kwa Ushauri na Tiba, Kama una Tatizo lolote la kiafya, tafadhali Wasiliana na Daktari moja kwa moja hapa || Call au Sms(+255758286584) au Whatsapp.
Je, unahitaji ushauri binafsi au matibabu ya tatizo lolote?
💬 Wasiliana na Daktari Hapa(Whatsapp)
