Mwanzilishi wa AFYACLASS BLOG(Ombeni Mkumbwa)

 AFYACLASS

• • • • • •

Mwanzilishi wa AFYACLASS BLOG(Ombeni Mkumbwa)


Blog hii inasaidia kuunganisha watu kwenye maeneo mbali mbali Duniani katika Nyanja ya AFYA


Hapa kuna Makala za kutosha Kuhusu afya yako kwa watu wa jinsia zote na umri wowote namaanisha,WANAWAKE,WANAUME,WATOTO,VIJANA,WAZEE N.k


Kuna makala kuhusu magonjwa mbali mbali Kama vile;


1. Ugonjwa wa UTI


2.Ugonjwa wa FANGASI


3. Ugonjwa wa PID


4. Matatizo ya Hormone imbalance


5. Tezi Dume


6. Tatizo la Low sperm count


7. Tatizo la Nguvu za Kiume


8. Magonjwa ya Watoto


9. Magonjwa Sugu kama kisukari,Presha,Vidonda vya Tumbo N.k


10.Magonjwa yote ya WANAUME,WANAWAKE NA WATOTO


11. Afya ya Uzazi N.k


PIA KUNA HUDUMA YA USHAURI,ELIMU ZAIDI NA TIBA KUHUSU TATIZO LINALOKUSUMBUA


Jukumu Langu Kwako,Ni kuhakikisha unakuwa na afya Bora, karibu Afyaclass Tuijenge AFYA BORA.


Maelekezo zaidi Kuhusu Mawasiliano..!!!!!




0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!