vipimo
VIPIMO VYA TYPHOID AU HOMA YA MATUMBO maarufu kama Widal Test
VIPIMO VYA TYPHOID AU HOMA YA MATUMBO maarufu kama Widal Test
Ili kugundua kama Mgonjwa ana Typhoid au Tatizo la Homa ya matumbo hata baada ya kuonyesha dalili mbali mbali ni lazima afanyiwe Vipimo, Na moja ya Kipimo hicho kinachotumika kugundus Ugonjwa wa Typhoid hujulikana kama WIDAL TEST.
Kipimo hiki huhusisha kuchukua Sample ya Damu kutoka kwa Mgonjwa(Blood Sample),ili kuipima na kuangalia kama kuna Ugonjwa huu wa Typhoid,
Vipimo vya Typhoid kwa Ujumla huweza kuhusisha Kuchukua Sample mbali mbali kutoka kwa Mgonjwa kama vile;
✓ Sample ya Damu(Blood Sample)
✓ Au Kinyesi(stool test) ambapo Salmonella Typhi au Salmonella paratyphoid huweza kugundulika
Chat Nasi Whatsapp
"Ungana na Wasomaji zaidi ya 12,000 wanaopata huduma ndani ya afyaclass,Kama unachangamoto yoyote ya kiafya;Kwa Ushauri&Tiba tuwasiliane hapa kupitia WhatSapp,Kama huna Whatsapp tuma SMS au Piga +255758286584."
Chat WhatSapp HapaDALILI ZA TYPHOID NI PAMOJA NA;
– Mgonjwa kuwa na joto kali mwilini au kuwa na Homa
– Kupata maumivu makali ya kichwa mara kwa mara
– Kupata maumivu makali ya tumbo mara kwa mara
– Mwili kukosa nguvu kabsa
– Mgonjwa kupata tatizo la kuharisha
– Kukohoa mara kwa mara
– Mgonjwa kupata choo kigumu
– Mgonjwa kukosa kabsa hamu ya kula chakula
N.K
MATIBABU YA TYPHOID AU HOMA YA MATUMBO
Tatizo hili hutibika kabsa kwa kutumia dawa mbali mbali kama vile; jamii ya Antibiotics N.k
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
Medical Disclaimer
Medical Disclaimer: Taarifa kwenye makala hii ni kwa ajili ya Updates au elimu ya jumla tu na haichukui nafasi ya uchunguzi,Tiba au ushauri wa kitaalamu wa daktari kwa mtu mmoja mmoja. Kama una dharura au tatizo lolote la kiafya, tafadhali Wasiliana na Daktari moja kwa moja hapa.
Je, unahitaji ushauri binafsi au matibabu ya tatizo lolote?
💬 Wasiliana na Daktari Hapa


