TYPHOID
• • • • • •
VIPIMO VYA TYPHOID AU HOMA YA MATUMBO maarufu kama Widal Test
Ili kugundua kama Mgonjwa ana Typhoid au Tatizo la Homa ya matumbo hata baada ya kuonyesha dalili mbali mbali ni lazima afanyiwe Vipimo, Vipimo hivo vya Typhoid hujulikana kama WIDAL TEST.
vipimo vya Typhoid huweza kuhusisha Kuchukua Sample mbali mbali kutoka kwa Mgonjwa kama vile;
✓ Sample ya Damu
✓ Au Kinyesi(stool test) ambapo Salmonella Typhi au Salmonella paratyphoid huweza kugundulika
DALILI ZA TYPHOID NI PAMOJA NA;
- Mgonjwa kuwa na joto kali mwilini au kuwa na Homa
- Kupata maumivu makali ya kichwa mara kwa mara
- Kupata maumivu makali ya tumbo mara kwa mara
- Mwili kukosa nguvu kabsa
- Mgonjwa kupata tatizo la kuharisha
- Kukohoa mara kwa mara
- Mgonjwa kupata choo kigumu
- Mgonjwa kukosa kabsa hamu ya kula chakula
N.K
MATIBABU YA TYPHOID AU HOMA YA MATUMBO
Tatizo hili hutibika kabsa kwa kutumia dawa mbali mbali kama vile; jamii ya Antibiotics N.k
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!