Ticker

6/recent/ticker-posts

MAKUNDI YA FANGASI AMBAO HUSHAMBULIA SANA NGOZI pamoja na Sababu hatarishi za kupata Fangasi hawa



 FANGASI WA NGOZI

• • • • •

MAKUNDI YA FANGASI AMBAO HUSHAMBULIA SANA NGOZI


Haya hapa ni makundi ya Baadhi ya Fangasi ambao kwa kiasi kikubwa sana hushambulia eneo la Ngozi;


•Soma:Chanzo cha Maumivu makali ya Tumbo


  • Ngozi ya mwili mzima-Ringworm of the body (tinea corporis) ...


  • Ngozi eneo la miguuni-Athlete's foot (tinea pedis) ...

  • Jock itch (tinea cruris) ...

  • Ngozi eneo la kichwani-Ringworm of the scalp (tinea capitis) ...

  • Tinea versicolor. ...

  • Cutaneous candidiasis. ...

  • Onychomycosis (tinea unguium)
N.k


SABABU HATARISHI  ZA KUPATA FANGASI WA KWENYE NGOZI

Kuna sababu kadhaa ambazo zinaweza kukuweka katika hatari kubwa ya kupata maambukizi ya fangasi wa kwenye ngozi.  Hii ni pamoja na:


 - kuishi katika mazingira ya joto au ya mvua


- Kuwa na tatizo la kuvuja jasho jingi mwilini


 - kutokuweka ngozi yako katika mazingira ya usafi na ukavu muda wote


 - kushirikiana vitu kama nguo, viatu, taulo, au mashuka ya kulalia na watu wengi


 - kuvaa mavazi ya kubana au viatu ambavyo haviruhusu hewa kupita vizuri


 - kushiriki katika shughuli zinazojumuisha kugusana mara kwa mara na ngozi


- kuwa na ushirika wa karibu sana na wanyama ambao wanaweza kuambukizwa Fangasi hawa wa Ngozi


 - kuwa na kinga dhaifu kutokana na sababu mbali mbali kama vile; matumizi ya baadhi ya dawa, matibabu ya saratani, au ugonjwa kama UKIMWI n.k


•Soma:Chanzo cha Maumivu makali ya Tumbo



KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.







Post a Comment

0 Comments