CHOO KIGUMU
• • • • •
TATIZO LA KUPATA CHOO KIGUMU
➡️ Constipation
Tatizo hili linawasumbua watu wengi sana siku hizi,Leo nataka kukupa elimu usiyoijua juu ya hali hii.
VISABABISHI;
- Hali hii inaweza kuletwa na, kukaa mda mrefu bila kwenda chooni kujisaidia wakati umesikia Kujisaidia.
Hali ambayo hupelekea maji kuendelea kufyonzwa kwa kiasi kikubwa na kuleta ukavu kwenye haja kubwa
- Mabadiliko ya vichocheo mwilini hasa wakati wa Ujauzito
- Kutokunywa maji mengi kwa siku, unashauriwa kunywa maji angalau lita 2.5 mpaka 3 za maji kwa siku
MATIBABU
✓ Usikae mda mrefu bila kwenda kujisaidia kama umesikia kujisaidia,hii inasaidia wewe kuepuka kukutana na hali hii.
✓ kunywa maji mengi kwa siku
✓ Kula vyakula pamoja na matunda yenye nyuzi nyuzi au fibers kama Machungwa,maembe Lakini usisahau MAPAPAI na Maparachichi ni muhimu sana kwa tatizo hili
MADHARA
kupata choo kigumu kunaweza kukusababishia tatizo la
(1)Kuchubuka sehemu ya Haja kubwa
(2) Maumivu makali sehemu ya haja kubwa
(3)Ugonjwa wa kuota kinyama sehemu ya Haja kubwa,Bawasiri au Hemmeroids.
Kama una tatizo hilo tuwasiliane pia kwa msaada zaidi +255758286584
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!