Connect with us

Others

Shirika la afya duniani WHO limesema limepoteza mawasiliano kabisa na wafanyakazi wa hospitali kubwa ya Gaza

Doctor Ombeni

Published

on

Shirika la afya duniani WHO limesema limepoteza mawasiliano kabisa na wafanyakazi wa hospitali kubwa ya Gaza ya Al Shifaa huku mashambulio ya Israel yakiendelea karibu na hospitali hiyo iliyozingirwa

Mapigano makali kati ya wanajeshi wa Israel na wapiganaji wa Hamas yamesababisha maelfu ya watu kunasa katika mahospitali ya Gaza,leo Jumapili,huku madaktari na wafanyakazi wa mashirika ya misaada wakionya kwamba wagonjwa watakufa ndani ya mahospitali hayo ikiwa mapigano hayatositishwa.Picha za shirika la habari la AFP zimeonesha namna  makombora yanavyovurumishwa dhidi ya mji wa Gaza.Shirika la madaktari wasiokuwa na mipaka limeonya leo kwamba mahospitali yatageuka kuwa majumba ya kuhifadhi maiti ikiwa vita havitositishwa. Soma pia: Israel yaendelea kuishambulia Gaza angani na ardhini

Mkurugenzi wa hospitali kubwa kabisa,Gaza hii ya Al-Shifah, Mohammad Abu Salmiya amesema hospitali hiyo imezingirwa kila upande na mashambulio ya mabomu yanaendelea katika maeneo ya karibu.

Jeshi la Israel limesema liko tayari kuwahamisha watoto wachanga kutoka hospitali hiyo hii leo.Tayari watoto wachanga wawili wameshakufa na wengine wengi wako hatarini baada, hospitali kuishiwa mafuta wakati  mapigano makali yakiendelea kwenye eneo hilo.Na shirika la afya duniani WHO limesema limepoteza mawasiliano na wafanyakazi wa hospitali hiyo ya al Shifaa.

✚

Ushauri,Elimu,Tiba

Medical Consultation: Karibu afyaclass Kwa Ushauri na Tiba, Kama una Tatizo lolote la kiafya, tafadhali Wasiliana na Daktari moja kwa moja hapa || Call au Sms(+255758286584) au Whatsapp.

Je, unahitaji ushauri binafsi au matibabu ya tatizo lolote?

💬 Wasiliana na Daktari Hapa(Whatsapp)

🏆Certified| Doctor from Afyaclass. Maudhui haya ni kwa ajili ya elimu ya jumla ya afya. Unapohitaji ushauri wa kina, uchunguzi, au matibabu binafsi, wasiliana na daktari kupitia namba:+255758286584.Pia tufwatilie kupitia: @Facebook | @Instagram | @YouTube.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Guest Avatar

LATEST POSTS

Afya News13 minutes ago

Mlipuko wa Surua: Marekani Yaripoti Zaidi Ya Visa 4,000 MWAKA 2026

Mlipuko wa Surua: Marekani Yaripoti Zaidi Ya Visa 4,000 MWAKA 2026 Surua ni ugonjwa wa kuambukiza unaosababishwa na virusi vya...

Saratani2 hours ago

Saratani ya Utumbo Mpana,Dalili za Saratani ya Utumbo mpana na Chanzo chake

SARATANI YA UTUMBO MPANA: NI NINI, CHANZO CHAKE, DALILI NA NAMNA YA KUJIKINGA? Saratani ya utumbo mpana ni nini? Saratani...

magonjwa3 weeks ago

Madhara ya malaria,Fahamu hapa madhara ya Ugonjwa wa Malaria

Madhara ya Ugonjwa wa malaria Malaria ni ugonjwa unaosababishwa na vimelea aina ya Plasmodium na huenezwa hasa kwa kuumwa na...

Afya News23 hours ago

Serikali yaimarisha huduma za Lishe kupunguza madhara ya Utapiamlo

Serikali yaimarisha huduma za Lishe kupunguza madhara ya Utapiamlo Na Shaban Juma, WAF – Dodoma Serikali inaendelea kuimarisha huduma za...

Utafiti1 day ago

Teknolojia ya Upimaji wa Vinasaba Iliyosaidia Kugundua COVID-19 Sasa Inasaidia Madaktari Kuokoa Maisha

Maendeleo ya sayansi na teknolojia katika sekta ya afya yamewezesha wataalamu kugundua magonjwa kwa usahihi zaidi, hata pale ambapo vipimo...

Saratani1 day ago

Saratani ya Utumbo mpana ni Saratani inayoongezeka kwa kasi

Saratani ya Utumbo mpana ni Saratani inayoongezeka kwa kasi kwa hivi sasa,Mfano takwimu za hivi karibuni zinaonyesha;Saratani ya utumbo mpana...

Stars Health3 days ago

Hali ya Papa Leo XIV imeendelea kuimarika baada ya upasuaji wa mapafu

Papa Leo XIV anaendelea kuimarika baada ya kufanyiwa upasuaji wa kuondoa uvimbe kwenye pafu. Vatican yasema alikuwa na usiku mtulivu...

Ebola2 days ago

Ugonjwa wa Ebola: Jinsi Ujerumani inavyowafundisha wahudumu WA afya kupambana na mlipuko wa Ebola

Ugonjwa wa Ebola ni miongoni mwa magonjwa hatari ya kuambukiza yanayosababishwa na virusi. Ugonjwa huu unaweza kusababisha homa kali, kutokwa...

WHO2 days ago

Sumu ya Madini ya Risasi: WHO yaonya kuhusu madhara yake kwa watoto na watu wazima

Shirika la Afya Duniani (WHO) limetoa wito kwa nchi mbalimbali kuimarisha hatua za kuzuia watu kuathiriwa na sumu ya madini...

EVENTS2 days ago

Siku ya Kunawa Mikono Duniani, Leo, tarehe 15 Oktoba 2026

Siku ya Kunawa Mikono Duniani, Leo, tarehe 15 Oktoba 2026 Leo, tarehe 15 Oktoba 2026, Tanzania inaungana na nchi nyingine...