Connect with us

Others

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa tayari amewasili katika viwanja vya Shule ya Sekondari Katesh kuaga miili ya waliofariki kwa mafuriko

Doctor Ombeni

Published

on

Imeboreshwa July 10, 2026 by Doctor Ombeni

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa leo Disemba 4, 2023 tayari amewasili katika viwanja vya Shule ya Sekondari Katesh katika Wilaya ya Hanang kwa ajili ya kuongoza shughuli ya kuaga miili ya marehemu 49 waliofariki kwenye mafuriko.

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa ameongozana na Mawaziri wengine katika shughuri hiyo ya kuaga wapendwa wetu akiwemo Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel, Viongozi na Watendaji wengine wa Serikali na wananchi wa Hanang katika kutoa pole za dhati kufuatia maafa ya mafuriko hayo.

🏆Certified| Doctor from Afyaclass.Hapa utapata Ushauri & Tiba juu ya magonjwa mbali mbali. Kwa msaada Zaidi Tuwasiliane kupitia namba: +255758286584.Pata dondoo za afya kila siku kwa kufuatilia kupitia: @Facebook | @Instagram | @YouTube.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *