Uganda kuharibu chanjo za Uviko-19 zenye thamani ya dola milioni 7.4
Uganda kuharibu chanjo za Uviko-19 zenye thamani ya dola milioni 7.4.
Uganda itaharibu chanjo za Uviko-19 zenye thamani ya dola milioni 7.4 zilizoisha muda wake, kufuatia kupugua kwa mahitaji ya chanjo hizo, huku dozi zaidi za chanjo hiyo zikitarajiwa kuisha muda wake kufikia mwishoni mwa mwaka.
Taifa hilo lilitumia fedha za mkopo kutoka Benki ya Dunia kuagiza chanjo hizo, na karibu nusu ya dozi milioni 12.6 zimeisha muda wake
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!