Celine Dion atokea Grammys 2024 akiwa na muonekano wa tofauti sana wakati anapambana na ugonjwa wa stiff person syndrome
Mwimbaji Celine Dion atokea Grammys 2024 akiwa na muonekano wa tofauti sana wakati anapambana na ugonjwa usiotibika.
Mwimbaji mashuhuri wa Canada, Celine Dion alijitokeza kwa gafla katika Grammys 2024 Jumapili, Februari 4, wakati bado anapambana na ugonjwa usiotibika, unaoitwa stiff person syndrome.
amebadilika sana, na afya yake inazidi kuimarika tofauti na huko nyuma.
Nyota huyo, mwenye umri wa miaka 55, alitembea jukwaani kwa msaada wa mtoto wake mkubwa Rene-Charles Angelil mwenye umri wa miaka 23, kisha kushangilia,kusimama na kuwasilisha Albamu ya Mwaka kwa mwimbaji Taylor Swift.
Alisema: ‘Asanteni, nyote! Nakupenda pia. Unaonekana mrembo. Ninaposema ninafurahi kuwa hapa, ninamaanisha kweli kutoka moyoni mwangu.
She said: ‘Thank you, all! I love you right back. You look beautiful. When I say I’m happy to be here, I really mean it from my heart”
“Wale ambao wamebarikiwa vya kutosha kuwa hapa katika Tuzo za Grammy(Grammy Awards) hawapaswi kamwe kuchukulia kawaida, kuzingatia upendo na furaha kubwa ambayo muziki huleta kwa maisha yetu na kwa watu kote ulimwenguni.
Na sasa inanipa furaha kubwa kuwasilisha Tuzo ya Grammy ambapo magwiji wawili Diana Ross na Sting waliniletea miaka 27 iliyopita. Hawa ndio wateule bora zaidi wa albamu bora ya mwaka.’
Celine kisha akatangaza albamu ya Swift ya Usiku wa manane ilikuwa imeshinda tuzo hiyo – na kuifanya historia ya Grammy aliposhinda tuzo hiyo kwa mara ya nne.
Celine alionekana kustaajabisha akiwa amevalia koti la terracotta, vazi la chiffon, na vito vinavyometa meta(terracotta coat, chiffon dress, and glittering jewellery) alipokuwa akisaidiwa kupanda jukwaani.
Swift amekuwa mtu wa kwanza kushinda tunzo hizo mara nne.
Celine dione bado anapambana na Ugonjwa huu wa stiff person syndrome,ugonjwa usiotibika mpaka sasa,
Soma Zaidi hapa kuhusu ugonjwa huu usiotibika, unaoitwa stiff person. syndrome.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!