Akutwa na Minyoo kwenye Ubongo kwa kula nyama ya nguruwe

Akutwa na Minyoo kwenye Ubongo kwa kula nyama ya nguruwe.

Mwanaume mmoja nchini Marekani amekutwa na mayai ya minyoo kwenye ubongo wake ambayo huenda imesababishwa na kula nyama ya nguruwe ambayo haikupikwa vizuri ikaiva.

Mwanaume huyo wa miaka 52 alimtembelea daktari wake baada ya kulalamika maumivu makali ya kichwa ya mara kwa mara.

Na baada ya vipimo ilionekana kuwa kuna mayai ya minyoo kwenye ubongo wake.

Madaktari wanaamini kuwa mwanamume huyo,alipata minyoo kwa kula nyama ya nguruwe ambayo haijaiva vizuri,

0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!