DUBAI; Mvua kubwa ambayo haijawahi kunyesha kwa miaka 75

DUBAI; Mvua kubwa ambayo haijawahi kunyesha kwa miaka 75

#DUBAI: Safari za Ndege zimeahirishwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dubai baada ya Uwanja huo kujaa Maji kutokana na Mvua zilizonyesha Aprili 16, 2024 ikielezwa haijawahi kunyesha Mvua ya hivyo kwa Miaka 75

Mafuriko yameathiri Barabara nyingi Nchini humo na kupelekea Watu kuacha Magari Barabarani huku wengine wakilazimika kuondoka katika Nyumba zao na Shule kufungwa. Mamlaka zinashughulikia tatizo hili kwa kutumia Malori na Matanki kutoa Maji Barabarani.

0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!