Njia za kukusaidia Kuzuia Shinikizo la Juu la Damu
Unaweza Kuzuia Shinikizo la Juu la Damu kwa kuzingatia yafuatayo;
• Punguza Matumizi ya chumvi nyingi kwenye chakula
• Punguza Sukari, Ongeza matunda na mbogamboga kwenye Mlo
• Jiepushe na Matumizi ya Tumbaku
• Punguza matumizi ya Pombe au kuacha kabsa
• Epuka matumizi ya mafuta kwa wingi au vyakula vyenye mafuta mengi
• Fanya Mazoezi mara kwa mara.. n.k
Photo Credits:Info| ElimuyaAfya
#SOMA pia;
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!