Tafiti zinaonesha 90% ya Watu hawajui kama Figo zao zina matatizo
Tafiti zinaonesha 90% ya Watu hawajui kama Figo zao zina matatizo huku 40% wakifika Hospitali wakati Ugonjwa ukiwa hatua ngumu na za mwisho kutibika na hauwezi hata kusafisha Damu (Dialysis).
Kwa mujibu wa Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC), ili kuepuka Magonjwa yanayotokana na Vyakula, Watu wanapasawa kutotumia Vyakula Vilivyopikwa kwa Mafuta Mengi, Vinywaji Venye Sukari Nyingi zikiwemo Soda aina zote na Juisi za Viwandani.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!