Plastiki yapatikana ndani ya Korodani za Binadamu

Plastiki yapatikana ndani ya Korodani za Binadamu

Chembe chembe ndogo za Plastiki(microplastics) zinaweza kupatikana  kila mahali,kuanzia Tumboni mwa Viumbe wa baharini hadi kwenye maji ya Kunywa,

Na Sasa zimefika kwenye Korodani Za binadamu.

Wanasayansi kutoka Chuo kikuu cha New Mexico walifanya uchunguzi kwa Wanaume 23 na Mbwa 47,

Kisha kubaini chembe chembe za Plastiki katika Kila Sampuli.

Korodani za Binadamu zlizochunguzwa zilitokana na Uchunguzi wa Maiti mwaka 2016. Wakati Sampuli za Mbwa zilitokana na Upasuaji wa Uzazi.

0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!