Siri ya Mazoezi kupunguza Msongo wa mawazo au Stress

Ipi ni Siri ya Mazoezi kupunguza Msongo wa mawazo au Stress?

Kuna Tafiti Zaidi ya 200, Zinazoonyesha Mazoezi husaidia sana kuondoa STRESS na kuleta Furaha.

Watafiti hawajui jinsi mazoezi yanavyopunguza Tatizo la Msongo wa Mawazo, lakini inaweza kuwa na uhusiano na kuongeza viwango vya seratonini na hisia ya kufanikiwa yaani sense of accomplishment.

Hivo njia mojawapo kubwa ya kukusaidia ukiwa nA STRESS,fanya Mazoezi.

#Soma hapa Faida za Kufanya mazoezi mwilini

#Soma pia njia ya kukabiliana na STRESS, ikiwemo kufanya Mazoezi.

0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!