MWANAUME KUKOJOA DAMU,CHANZO NA TIBA YAKE
• • • • • •
TATIZO LA KUKOJOA DAMU(chanzo na tiba)
Tatizo hili la kukojoa damu huweza kutokea kwa mtu yoyote na chanzo chake huweza kuanzia popote kwenye mfumo mzima wa mkojo kama vile; kwenye kibofu cha mkojo, kwenye Njia ya mkojo au Kwenye figo.
BAADHI YA SABABU ZA MTU KUKOJOA DAMU NI PAMOJA NA;
- Maambukizi katika mfumo mzima wa mkojo yaani UTI(urinary track infection)
- Kuwa na ugonjwa wa kichocho pamoja na magonjwa mengine ambayo huweza kushambulia mfumo mzima wa haja ndogo
- Maambukizi ya baadhi ya magonjwa ya zinaa
- Kuwa na shida ya kansa au saratani ya kibofu,figo N.k
DALILI ZA TATIZO HILI LA KUKOJOA DAMU NI PAMOJA NA;
- joto la mwili kuwa juu au mgonjwa kuwa na homa
- Kupata maumivu makali wakati wakukojoa
- Maumivu ya tumbo chini ya kitovu
- Kukojoa damu mara kwa mara
MATIBABU YA TATIZO HILI LA KUKOJOA DAMU
- Matibabu ya tatizo hili hutegemea na chanzo chake, kama chanzo ni UTI basi mtu atapata matibabu ya Uti, kama shida ni Kichocho,mgonjwa apata matibabu ya kichocho N.K
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!