TANZIA:Marco joseph wa zabron singers Afariki Dunia

#1

TANZIA:Marco joseph wa zabron singers Afariki Dunia

Msanii wa Zabron Singers, Marco Joseph Afariki Jijini Dar

Msanii wa Kundi la Zabron Singers, Marco Joseph amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Agosti 22, 2024 katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, Jijini Dar es salaam alipokuwa akifanyiwa Upasuaji wa Moyo.

Source: Globalpublishers

TOA MAONI YAKO HAPA(REPLY BELOW👇)


image quote pre code