Dalili Za Uvimbe kwenye kizazi,Soma hapa

 Dalili Za Uvimbe kwenye kizazi,Soma hapa

1. Maumivu

➖Maumivu makali kabla au baada ya hedhi

➖Maumivu makali wakati wa tendo la ndoa

➖Maumivu ya tumbo, mgongo na maeneo ya mifupa ya kiuno (pelvis)

➖Maumivu unapotaka kwenda kujisaidia/kwenda haja

➖Maumivu ya miguu

2. Hedhi

➖Kutokwa na damu nyingi wakati wa hedhi, damu hiyo inaweza kuwa au kutokuwa na mabonge

➖Kuwa na hedhi ya muda mrefu isivyo kawaida

- Kupata hedhi kabla ya muda wa kawaida

- kupata hedhi katikati ya Mwezi,mara mbili kwa mwezi n.k

3. Uke

➖Maumivu makali wakati wa tendo la ndoa

4. Matatizo ya Kibofu na Utumbo

➖Kutokwa na damu maeneo ya Kibofu au Utumbo

Kubadilika kwa hali ya utumbo i.e Kuwa na haja kubwa ngumu (constipation) na Kuharisha

➖Kukojoa mara nyingi isivyo kawaida

5. Kuvimba kwa tumbo wakati wa hedhi, kwaweza kuwa na maumivu au bila maumivu

6. Kuishiwa nguvu au uchovu wakati wa hedhi

Kama una hizo dalili hakikisha unafanya ultrasound ili kujihakikishia kwanza lakini kama umewahi kupima na ukakutwa na vimbe,hakikisha unapata Matibabu

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!