DAWA NZURI YA MAFUA
Kuna vyanzo mbali mbali vya shida ya mafua kama vile,Allergic reaction kwa vitu kama perfumes,sabuni,vumbi n.k au mambukizi ya kirusi cha INFLUENZA,
JE MAFUA YANAWEZA KUAMBATANA NA MADHARA GANI?
Haya hapa ni baadhi ya madhara ambayo huweza kwenda pamoja na shida ya mafua
- Mtu kupata Maumivu makali ya kichwa
- Mwili kuchoka kupita kawaida
- Kukosa usingizi wakati wa usku
- Kupatwa na shida ya Runny Nose
- Mtu kukosa hewa/pumzi au kupumua kwa shida
- Hamu ya chakula kupotea kabsa
- Joto la mwili kuwa juu au mtu kuwa na homa
- Baadhi kupatwa na vipele kwenye ngozi
- Baadhi kupiga chafya sanaa
- Baadhi kukohoa pia
- Na wengine kutoa jasho kuliko kawaida
KABLA YA DAWA ZINGATIA VITU HIVI PIA KAMA UNA MAFUA
1. Nawa mikono yako mara kwa mara
2. Kunywa maji mengi pamoja na kupata muda wa kutosha wa kupumzika
3. Hakikisha unakula mlo kamili
4. Epuka sehemu ambazo zina watu wengi
5. Epuka kukaa sehemu ambazo hakuna hewa ya kutosha n.k
DAWA NZURI YA MAFUA NI IPI?
• Tiba ya kwanza ya mafua huanza baada ya kugundua chanzo chake,na matibabu sio kwenye mafua pekee ni pamoja na madhara ya mafua kama vile kichwa n.k
Hivo kwa ujumla zipo dawa mbali mbali ambazo huweza kutumika kama vile;
- Piriton
- Ibuprofen
- Acetaminophen
- Dawa jamii ya antihistamines, Cetrizine n.k.
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASIALINE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!