kuweka chumvi kwenye kidonda

 kuweka chumvi kwenye kidonda

kumekuwa na utaratibu wa watu kuweka vitu mbali mbali kwenye vidonda,

pasipo ushauri kutoka kwa wataalam wa afya

Wengine hutumia chumvi na sukari

Wengine huweka dawa za meno kwenye vidonda

Wengine huweka mafuta ya kupaka

Wengine huweka mafuta ya kula n.k

USHAURI; waone wataalam wa afya kwanza upate ushauri wa kitabibu kulingana na;

Aina ya kidonda chako,chanzo chake pamoja na muda wa kidonda au hali ya kidonda,

Epuka kuweka vitu mbali mbali hovio pasipo maelekezo kutoka kwa wataalam,vingine ni sumu sio dawa.

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA JUU YA TATIZO LOLOTE TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

0 Comments

WEKA COMMENT HAPA..!!!