Madhara ya Dawa za Kupunguza Uzito Ozempic, Wegovy, na Rybelsus
Tafiti nyingi za hivi karibuni zimeonyesha kwamba;
Watu ambao hutumia dawa Maarufu za kupunguza uzito ambazo hujulikana kama;
- Ozempic,
- Wegovy,
- Pamoja na Rybelsus
Wapo kwenye hatari kubwa ya kupata matatizo ya TUMBO pamoja na UTUMBO.
People taking popular weight loss drugs like Ozempic, Wegovy, and Rybelsus are at higher risk of potentially serious stomach and intestinal issues, a large study reveals.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!