Ticker

6/recent/ticker-posts

Madhara Ya Feni Kwa Mama Mjamzito



 MADHARA YA FENI KWA MAMA MJAMZITO

Makala hii imetoa maelekezo kuhusu madhara mbali mbali ya Kulala na Feni au kutumia feni Kwa mama mjamzito, na sio hivo tu madhara haya huweza kumpata mtu yoyote hata ambao sio wajawazito,watoto n.k

1. Kupatwa na shida ya kupiga chafya sana mara kwa mara, hii ni kutokana na vumbi ambalo huweza kuingia kwenye mfumo wa hewa kutoka kwenye mazingira yanayokuzunguka,

Hivo mtu huweza kuwa na allergic reaction dhidi ya vumbi pamoja na vitu mbali mbali kutokana na matumizi ya feni

2. Ngozi kukauka sana, hii huweza kutokea na kuonekana kwenye maeneo mbali mbali ya mwili wako kama vile,kwenye mikono,miguuni pamoja na Lips za mdomoni kupauka sana

3. Hali ya mdomo kukauka kupita kawaida na wengine hadi midomo kuchanika kwenye Lips, hii ni kutokana na hewa ya feni kupuliza na kukausha kabsa unyevu unyevu mdomoni

4. Mama mjanzito kupatwa na tatizo la Pua kuvimba au kwa kitaalam hujulikana kama Runny nose,

Hali hii hutokea mara nyingi hasa kwa wale wajawazito ambao wanalala na feni karibu sana,kiasi kwamba hewa ya feni inapuliza karibu kabsa na pua,

Kitu ambacho huweza kusababisha unyevu unyevu ndani ya pua au kwenye Nasal passage kukauka, na kupelekea mwili kuanza kuongeza juhudi za kurudisha unyevu unyevu ndani ya pua na kisha mama mjamzito kuvimba pua yake

5. Kupatwa na shida ya Macho kuwasha sana yaani Eye irritation, Hali hii huweza kutokea kutokana na vumbi pamoja na Impurities mbali mbali kuingia machoni kutokana na kupulizwa na hewa ya feni,

Lakini pia baadhi ya watu kupatwa na shida ya allergic reaction kwenye ngozi ya macho

6. Mtu kupatwa na Hali ya koo kukauka kupita kawaida, pamoja na kiu ya maji kuongezeka sana mara kwa mara

KUMBUKA; Kama umeshindwa kabsa na wewe ni mjamzito unashauriwa kupunguza sana speed ya Feni yako na pia iwe mbali na wewe,usiweke feni karbu sana na wewe.

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA JUU YA TATIZO LOLOTE TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.





Post a Comment

0 Comments