Natokwa na Ute wa Pink Ukeni,Shida ni nini?
Unaweza kutokwa na Uchafu wa Pink Ukeni kutokana na Sababu mbali mbali,
Utoaji wa ute au uchafu wa pink ukeni, mara nyingi, unachukuliwa kuwa wa kawaida na sio dalili za tatizo Lolote,
Inaweza kuhusishwa na mzunguko wa hedhi(period), matumizi ya njia za uzazi wa mpango au mabadiliko ya homoni.(-)
lakini, inaweza kuwa tatizo endapo ute huu au uchafu huu hutoka huku ukiambatana na dalili zingine,
haswa ikiwa kuna dalili zingine kama vile maumivu ya tumbo, kichefuchefu, au harufu mbaya ukeni.
Kutokwa na uchafu wa pink ukeni huku ukiambatana na dalili kama hizo, huweza kuwa Ishara ya matatizo kama vile;
- Tatizo la Maambukizi ya bacteria kwenye via vya uzazi yaani PID
- Tatizo la ovarian cysts n.k
HIVO NI VIZURI KUFANYA UCHUNGUZI ENDAPO UNAPATA SHIDA KAMA HII,
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
Rejea Pia:
1. Aina za uchafu unaotoka ukeni,Rangi na dalili za Ugonjwa,Soma hapa
2. other Source Link
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!