SOMA HAPA KUJUA Faida za Lozi (Almond) mwilini
Faida za Lozi (Almond):(kujua lozi angalia kwenye picha hapo juu mwanzoni kabsa au mwishoni mwa makala hii),
tunajua watu wengi hawafahamu Lozi au Almond ni kitu gani,Lozi ipo kwenye jamii ya NJUGU.
Lozi inajulikana kama ni King katika jamii ya njugu, ina elements karibia ya zote zinazohitajika katika mwili wa mwanadam.
Ni chakula chenye kutia nishati mwili na akili.
Kuna aina mbili za Lozi, kuna lozi zile tamu na kuna lozi chungu kuna zenye ngozi nyembamba (thin-skinned) na kuna zenye ngozi nene(thick-skinned) hii ni katika aina ya lozi tamu ambazo ndio tunazozitumia na tunahitajika kutumia ama zile lozi chungu zina prussic acid ambayo ni sumu hata hivo hizo lozi chungu zinatumika katika mambo ya kutengenezea cosmetics, mafuta ya lozi (almond oil) pia na perfumes.
LOZI ZINAZALISHWA KWA WINGI WAPI?
Nchi mashuhuri yenye Lozi ni Morocco, pia lozi zilionekana katika miaka mingi nyuma katika nchi ya Syria na Palastine.
Hata hivo sasa hivi lozi zinazalishwa sehemu nyingi duniani kama Italy,California,Australia,South Africa,Kashmir na sehemu nyingi za Asia.
VITU(NUTRIENTS) AMBAVYO TUNAWEZA KUVIPATA NDANI YA LOZI NI PAMOJA NA;
Food Value: Minerals and Vitamins
Moisture 5.2% Calcium 230 mg
Protein 20.8% Phosphorus 490 mg
Fat 58.9% Iron 4.5 mg
Minerals 2.9% Niacin 4.4 mg
Fibre 1.7%
Carbohydrates 10.5%
Ndani ya lozi pia kuna upatikanaji wa copper, iron phosphorus na Vitamin B,
FAIDA ZA LOZI KWENYE MWILI WAKO NI ZIPI?
- vitu hivi vinasaidia katika upatikanaji wa new blood cells, haemoglobin pia inasaidia ubongo, mishipa, mifupa, moyo na ini kufanya kazi kwa wepesi kabisa.
- Lozi Ni chakula chenye kutia nishati mwili na akili.
- Lozi insaidia kupanua na kutia nguvu muscles za ubongo katika kuongeza fahamu.
- Old ages:Utu uzima wa kiumri.
Chukua lozi kiasi na uziloweke katika maji na baadae utoe ngozi yake ikisha uzisage na kufanya paste kwa kutumia kama siagi, hii huongeza proteins ndani ya mwili na hasa kwa watu wazima, pia unaweza kutia katika maziwa na ukanywa hii nzuri kwa watoto.
- Matatizo ya upungufu wa damu au Anaemia:upungufu wa damu.
Kuna upatikanaji wa copper katika lozi katika rate 1.15mg per 100 grams, copper pamoja na iron na vitamins hizi zinatumika kama ni catalyst katika mfumo wa blood haemoglobin. Kwa hiyo wenye maradhi ya upungufu wa damu ni vizuri mtu kutumia lozi kwa sana.
- Constipation: matatizo ya kukosa choo kabsa au kupata choo kigumu.
Kwa wale wenye matatizo ya kukosa choo au kupata choo kigumu, ni vizuri kula lozi wakati wa usiku kabla ya kwenda kulala.
- Tatizo la Impotency:upunguvu wa nguvu za kiume.
Kwa wale wenye upunguvu wa nguvu za kiume na za kike, wale lozi kwa wingi. #mtu ni lishe
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA JUU YA TATIZO LOLOTE TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!