TANZIA;kifo cha Katibu Mkuu Mstaafu wa Wizara ya Maji Mzee Eng. Mbogo Futakamba
TANZIA;kifo cha Katibu Mkuu Mstaafu wa Wizara ya Maji Mzee Eng. Mbogo Futakamba
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ametoa taarifa ya msiba wa aliyekuwa mwenyekiti wa BODI YA MAJI YA TAIFA na Katibu Mkuu Mstaafu wa Wizara ya Maji Mzee Eng. Mbogo Futakamba asubuhi ya leo.
Ni msiba mkubwa na pigo zito kwa familia ya sekta ya Maji.
“Tutamkumbuka kama mdau muhimu sana ambae ameendelea kuitumia sekta yetu hata baada ya kustaafu kwake.
Nitoe pole kwa wana Sekta ya Maji, Familia, Ndugu, Jamaa, Marafiki na wote walioguswa na msiba huu” amesema Jumaa Aweso
Via:Global Publishers
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!