TATIZO LA KORODANI KUWASHA NA KUBABUKA NGOZI
Tatizo hili la korodani kuwasha pamoja na kubabuka ngozi hutokea kwa Wanaume wengi sana,
Korodani huweza kuanza kuwasha,kubabuka,kutoa unga unga,rangi ya ngozi kuwa nyekundu zaidi,ngozi ya korodani kuwa laini zaidi n.k
Miwasho hii huweza kuenea hadi maeneo mengine mfano kwenye eneo la kwenye mfereji wa njia ya haja kubwa ambapo eneo hili kwa kitaalam hujulikana kama Perineum,
Miwasho kwenye Eneo ambalo nywele za sehemu za siri huota, na wengine hupata miwasho mpaka kwenye njia ya mkojo kwa ndani.
JE CHANZO CHA SHIDA HII NI NINI?
Kwa asilimia kubwa,Tatizo hili la korodani kuwasha pamoja na kubabuka ngozi hutokana na maambukizi ya Fangasi,
Fangasi wa Sehemu za Siri huweza kukushambulia na kuleta madhara haya kwako.
ZINGATIA HAYA;
- Epuka kuvaa nguo za ndani ambazo hazijakauka vizuri
- Epuka kuvaa nguo za ndani chafu
- Hakikisha eneo la sehemu za siri linakuwa safi,ikiwemo kunyoa nywele kwenye eneo hili
- Kama unasumbuliwa na tatizo hili hakikisha unapata TIBA.
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!