Ticker

6/recent/ticker-posts

Tatizo la miguu kukaza na maumivu ya misuli wakati wa UJAUZITO



Tatizo la miguu kukaza na maumivu ya misuli wakati wa UJAUZITO

Tatizo la miguu kukaza na maumivu ya misuli huweza kutokea wakati wa Ujauzito hasa kwenye miezi mitatu ya kati au miezi mitatu ya mwisho ya ujauzito,

Tatizo hili huweza kusababishwa na Sababu mbali mbali ikiwemo;

  • uzito wa mwili Kuongezeka wakati wa ujauzito,
  • kubadilika kwa maumbile ya mwili, na mijongeo ya mwili (biomechanics).

Maumivu haya huweza pia kusababishwa na uhifadhi wa maji mwilini (fluid retention) na ulegevu wa maungio ya mwili (joint laxity).

Maumivu haya wakati wa ujauzito yanaweza kuwa na athari kwa maisha ya kila siku na kusababisha mabadiliko katika usingizi na namna ya kulala.

Ikiwa una Shida hii unaweza kuongea na Wataalam wa afya ili kupata Ushauri na Tiba Au;

 KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU NA TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.





Post a Comment

0 Comments