Ticker

6/recent/ticker-posts

Ugonjwa wa Leukemia,Saratani ya damu,Chanzo,Dalili na Tiba

Ugonjwa wa Leukemia,Saratani ya damu

Leukemia huu ni ugonjwa wa Saratani ya damu ambayo huathiri na kushambulia zaidi tisu mbali mbali mwilini ambazo zinahusika na utengenezaji wa damu kama vile tissu za Bone marrow,Lymphatic system n.k.

katika Makala hii tumechambua Zaidi kuhusu Ugonjwa huu wa saratani ya damu,Sababu Zake Pamoja na Matibabu yake.

CHANZO CHA UGONJWA WA SARATANI YA DAMU(LEUKEMIA)

- Hakuna sababu ya moja kwa moja iliyogundulika na kuonekana inasababisha aina hii ya Saratani ya damu/Leukemia, japo kuna baadhi ya sababu ambazo huongeza uwezekano wa mtu kupatwa na Ugonjwa wa Saratani ya damu, Sababu hizo ni kama vile;

• Sababu za kuwa na vinasaba vya Ugonjwa wa kansa ya damu katika familia au ukoo

• Kuwahi kupatwa na aina zingine za saratani au kansa kisha kupata huduma ya mionzi pamoja na baadhi ya dawa za kumsaidia mtu mwenye tatizo la saratani kwa muda flani

• Mtu kuwa na magonjwa mengine yanayohusisha damu

• Kupata miale mikali ya Mionzi n.k

• Uvutaji wa Sigara,

Pia Uvutaji wa Sigara huweza kuongeza uwezekano wa mtu kupata Ugonjwa wa Saratani ya damu

• Matumizi ya baadhi ya vitu vyenye kemikali kali n.k

Vyote hivi kwa Pamoja huweza kuongeza hatari ya Mtu kupata Ugonjwa wa saratani ya damu(Leukemia).

DALILI ZA UGONJWA WA SARATANI YA DAMU(LEUKEMIA)

Dalili za Ugonjwa wa saratani ya damu ni Pamoja na;

- Joto la mwili kuwa juu au mgonjwa kuwa na homa

- Mwili kuchoka kupita kiasi pamoja na kukosa nguvu

- Uzito wa mwili kupungua kwa kasi kubwa

- Mgonjwa kukosa hamu ya kula chakula kabsa

- Mgonjwa kuvimba ini,lymph nodes n.k.

- Kuwa na tatizo la damu kuvuja puani kwa kujirudia mara kwa mara

- Rahisi sana kwa mgonjwa kuvuja damu au kupata michubuko mbali mbali ya ngozi, hii pia ni mojawapo ya dalili za Ugonjwa wa kansa ya damu

- Ngozi kuwa na madoa doa ya rangi nyekundu kama vile maeneo ya usoni(tazama picha hapo chini) pamoja na maeneo mengine ya mwili

- Mwili kuvuja sana jasho kupita kiasi hasa wakati wa usiku

- Kupata maumivu makali ya mifupa n.k

MATIBABU YA UGONJWA WA SARATANI YA DAMU

• Yapo matibabu ya aina mbali mbali kulingana na ukubwa wa ugonjwa wa Saratani ya Damu,chanzo chake pamoja na Stage uliopo. Ila kwa ufupi kuna Tiba mbali mbali za Ugonjwa wa saratani ya damu kama vile;

  •  Tiba ya mionzi(Radiotherapy)
  •  Chemotherapy
  • Bone marrow transplant
  • Immunotherapy N.k

FAQs:Maswali ambayo huulizwa mara kwa mara

Je, Ugonjwa wa saratani ya damu una dalili Zipi?

Dalili za Ugonjwa wa Saratani ya damu ni Pamoja na;

- Joto la mwili kuwa juu au mgonjwa kuwa na homa

- Mwili kuchoka kupita kiasi pamoja na kukosa nguvu

- Uzito wa mwili kupungua kwa kasi kubwa

- Mgonjwa kukosa hamu ya kula chakula kabsa

- Mgonjwa kuvimba ini,lymph nodes n.k.

- Kuwa na tatizo la damu kuvuja puani kwa kujirudia mara kwa mara

- Rahisi sana kwa mgonjwa kuvuja damu au kupata michubuko mbali mbali ya ngozi, hii pia ni mojawapo ya dalili za Ugonjwa wa kansa ya damu

- Ngozi kuwa na madoa doa ya rangi nyekundu kama vile maeneo ya usoni(tazama picha hapo chini) pamoja na maeneo mengine ya mwili

- Mwili kuvuja sana jasho kupita kiasi hasa wakati wa usiku

- Kupata maumivu makali ya mifupa n.k

Je, Matibabu ya Ugonjwa wa kansa ya damu ni yapi?

kuna Tiba mbali mbali za Ugonjwa wa Saratani ya damu kama vile;

  •  Tiba ya mionzi(Radiotherapy)
  •  Chemotherapy
  • Bone marrow transplant
  • Immunotherapy N.k

Hitimisho

Ugonjwa wa saratani ya damu(LEUKEMIA) ni miongoni mwa magonjwa hatari ambayo husababisha mtu kupoteza Maisha,

Ingawa ukigundulika Mapema,ni rahisi kupata matibabu na Kupona kabsa kama ilivyo kwa Kansa Zingine mbali mbali,

Hivo basi, ni muhimu sana kufahamu dalili za Ugonjwa wa kansa ya damu ili kupata Matibabu mapema zaidi ikiwa zitajionyesha, Dalili hizo ni pamoja na;

- Joto la mwili kuwa juu au mgonjwa kuwa na homa

- Mwili kuchoka kupita kiasi pamoja na kukosa nguvu

- Uzito wa mwili kupungua kwa kasi kubwa

- Mgonjwa kukosa hamu ya kula chakula kabsa

- Mgonjwa kuvimba ini,lymph nodes n.k.

- Kuwa na tatizo la damu kuvuja puani kwa kujirudia mara kwa mara

- Rahisi sana kwa mgonjwa kuvuja damu au kupata michubuko mbali mbali ya ngozi, hii pia ni mojawapo ya dalili za Ugonjwa wa kansa ya damu

- Ngozi kuwa na madoa doa ya rangi nyekundu kama vile maeneo ya usoni(tazama picha hapo chini) pamoja na maeneo mengine ya mwili

- Mwili kuvuja sana jasho kupita kiasi hasa wakati wa usiku

- Kupata maumivu makali ya mifupa n.k

Lakini pia ni muhimu zaidi kufahamu vitu vinavyoongeza hatari ya kupata ugonjwa wa kansa ya Damu ili kuviepuka na kujikinga na Kansa hii ya Damu.

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA JUU YA TATIZO LOLOTE TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Post a Comment

0 Comments