VYAKULA VYA KUSAFISHA FIGO
Katika makala hii tumeweka list au orodha ya baadhi ya,
vyakula,matunda,viungo n.k ambavyo ni rafiki kwenye Figo
Na orodha hyo ni kama ifuatavyo;
- Kuna tikititi maji
- Malenge
- shairi
- matango
maaple
- Kabichi
- karoti
- vitunguu kijani,
- iliki, bizari
- Aina mbali mbali za Berries kama vile Cranberry,Blue berry n.k
KUMBUKA; Vitu muhimu kwa ajili ya afya ya Figo zako
• Epuka kula vyakula vya mafuta mengi
• Epuka kuwa na uzito mkubwa yaani overweight/obesity
• Epuka matumizi ya pombe
• Epuka uvutaji wa Sigara
• Fanya mazoezi ya mwili N.k
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA JUU YA TATIZO LOLOTE TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!