Madhara ya uzito mkubwa kwa wanaume
UZITO MKUBWA
• • • • • •
WANAUME WENYE UZITO MKUBWA WANAWEZA KUPATA ATHARI MBALI MBALI
Katika Makala hii tumeelezea kuhusu madhara ya uzito mkubwa kwa wanaume,
Haya hapa ni baadhi ya madhara ya uzito mkubwa kwa wanaume;
1) Kusababisha tatizo ya Uume kushindwa kusimama vizuri kwa kitaalam erectile dysfunction,
Moja ya madhara ya uzito mkubwa kwa wanaume ni kuathiri uwezo wa mwanaume katika tendo,Uzito mkubwa huweza kupelekea tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.
2) Kupungua kwa hamu ya tendo la ndoa au kutokuwa na hamasa ya tendo la ndoa (decreased/loss of libido)
Hii pia huweza kuwa mojawapo ya madhara ya uzito mkubwa kwa wanaume,
3) Kupungua kwa mbegu za kiume (Low sperm count)
Pia moja ya madhara ya uzito mkubwa kwa wanaume, ni pamoja na kuathiri uwezo wa uzalishwaji wa mbegu za kiume kwenye korodani(sperm production ability)
4) Ugumba/utasa(infertility)
Kutokana na madhara mbali mbali ya Uzito mkubwa kama vile; kupungua kwa kiwango cha mbegu za kiume yaani low sperm count,
mwanaume huweza kupata tatizo la kushindwa kumpa mimba mwanamke.
5) Kua na uume mdogo na unaweza hata kua kama wa mtoto(micropenis)
6) Kua/kuota na matiti (gynecomastia)
Pia mwanaume mwenye uzito mkubwa yupo kwenye hatari kubwa ya kupata tatizo la kuota matiti
7) Kua na mifupa laini au isokua imara (low bone mineral density)
Haya pia ni madhara ya uzito mkubwa kwa wanaume,
8) Misuli kuisha/kupungua pamoja kuishiwa nguvu ya misuli (sarcopenia)
9) Homa za mara kwa mara
10) Matatizo ya kiufahamu (Difficulty concentrating,cognitive impairment)
11) Mwanaume kuwa kwenye hatari ya kupata magonjwa mbali mbali,
Moja ya madhara ya uzito mkubwa kwa wanaume, ni kuongeza hatari ya mwanaume kupata magonjwa mbali mbali ikiwemo;
- Shinikizo la damu(hypertension)
- Ugonjwa wa Kisukari
- Magonjwa ya moyo n.k
12) Mwanaume Kua na hasira za haraka (increased irritability)
13) Kupungukiwa na damu (anemia)
14) Kisukari (type 2 diabetes mellitus)
madhara ya uzito mkubwa kwa wanaume, Uzito mkubwa huongeza hatari zaidi ya wewe kupata ugonjwa wa kisukari hasa kisukari aina ya pili(type 2 diabetes)
15) Magonjwa ya moyo(cardiovascular disease)
16) Kujiona mnyonge,mdhaifu (Poor self-image)
17) Kuongeza hatari ya wewe kupata Sonona(Depression)
18) Kupungua kwa nywele katika sehemu mbalimbali za mwili (Decrease in hair growth on the face and body)
Hayo ni baadhi ya madhara ya uzito mkubwa kwa wanaume,
jitahidi sana upunguze uzito na ufike kwenye BMI ambayo ni nzuri kiafya,
kadhalika mambo mengine yanatatulika tu vizuri kwa ushauri na dawa.
Kwa yeyote unaesoma makala hii na unahisi una tatizo hili,au una ndugu/rafiki yako ana tatizo hili,au mumeo/,mpenzi wako mshauri aonane na wataalamu wa afya kwa ajili ya kumsaidia.
AU KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA JUU YA TATIZO LOLOTE TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!