Ugonjwa Wa Marburg,chanzo,dalili,jinsi unavyosambaa pamoja na matibabu yake
Fahamu kuhusu Ugonjwa Wa Marburg,chanzo,dalili,jinsi unavyosambaa pamoja na matibabu yake,Soma hapa kwenye Makala hii.
Ugonjwa Wa Marburg
Ugonjwa wa Marburg ni ugonjwa ambao unafananishwa na Ebola kwa dalili zake, ila ugonjwa huu wa homa ya kuvuja damu ni ugonjwa ambao unasababishwa na Virusi ambavyo vinajulikana kwa kitaalam kama MARBURG.
Licha ya kuathiri binadamu,ugonjwa wa Marburg huweza Pia kushambulia wanyama mbali mbali kama vile; wanyama jamii ya Sokwe,Nyani N.K
Dalili za Ugonjwa Wa Marburg
DALILI ZA UGONJWA WA MARBURG NI PAMOJA NA;
1. Mgonjwa kuanza kuvuja damu maeneo mbali mbali ya mwili yenye uwazi mfano;
- Mdomoni,
- Puani
- Pamoja na masikioni
2. Mgonjwa kuanza kujisaidia haja kubwa ya maji mengi (kuharisha maji mengi)
3. Mgonjwa kupatwa na hali ya kichefuchefu pamoja na kutapika
4. Joto la mwili la Mgonjwa kupanda au Mgonjwa kuwa na homa
5. Mgonjwa kupata uchovu sana katika mwili wake pamoja na mwili kukosa nguvu
6. Mgonjwa kupata maumivu makali kwenye misuli ya mwili,joint pamoja na viungo mbali mbali vya mwili
7. Mgonjwa kukosa hamu ya chakula
8. Mgonjwa kupata maumivu makali ya tumbo
9. Mgonjwa kuhisi hali ya vichomi
10. Mgonjwa kupata maumivu makali ya kichwa mara kwa mara
Jinsi Ugonjwa Wa Marburg unavyosambaa
virus hivi vya Marburg huweza kusambaa kwa njia mbali mbali ikiwemo;
- Kupitia mgusano kwenye vidonda/ngozi iliyovunjika au mucous membranes ndani ya macho,pua au mdomoni
- Ugonjwa Wa Marburg unaweza kusambaa kupitia damu au maji maji ya mwili kutoka kwa mgonjwa mwenye Virusi vya Marburg,
Hapa nazungumzia vitu kama vile
- mkojo, mate,
- jasho,
- kinyesi,
- matapishi,
- maziwa ya mama(breast milk),
- Maji ya Uzazi(amniotic fluid),
- manii au semen n.k kutoka kwa mtu mwenye Ugonjwa Wa Marburg
au vitu ambavyo vimechafuliwa na maji maji haya ya mgonjwa wa Marburg au mtu ambaye amepoteza maisha kutokana na ugonjwa wa Marburg, Vitu hivo ni pamoja na nguo,shuka,sindano,au vifaa vingine vya hospitalin nk.
MATIBABU YA UGONJWA WA MARBURG
Hakuna tiba wala chanjo kwa ajili ya kutibu na kuzuia Ugonjwa wa marburg, Hivo kama ilivyo magonjwa mengi yanayosababishwa na Virusi,
Mgonjwa hutibiwa dalili za ugonjwa wa marburg Mfano; Kama Mgonjwa anapata maumivu makali ya misuli,joint pamoja na viungo vya mwili basi hupewa dawa za kudhibiti maumivu hayo N.K
FAQs: Maswali ambayo huulizwa mara kwa mara
Je, Dalili za Ugonjwa Wa Marburg ni zipi?
DALILI ZA UGONJWA WA MARBURG NI PAMOJA NA;
1. Mgonjwa kuanza kuvuja damu maeneo mbali mbali ya mwili yenye uwazi mfano;
Mdomoni,Puani na masikioni
2. Mgonjwa kuanza kujisaidia haja kubwa ya maji mengi (kuharisha maji mengi)
3. Mgonjwa kupatwa na hali ya kichefuchefu pamoja na kutapika
4. Joto la mwili la Mgonjwa kupanda au Mgonjwa kuwa na homa
5. Mgonjwa kupata uchovu sana katika mwili wake pamoja na mwili kukosa nguvu
6. Mgonjwa kupata maumivu makali kwenye misuli ya mwili,joint pamoja na viungo mbali mbali vya mwili
7. Mgonjwa kukosa hamu ya chakula
8. Mgonjwa kupata maumivu makali ya tumbo
9. Mgonjwa kuhisi hali ya vichomi
10. Mgonjwa kupata maumivu makali ya kichwa mara kwa mara
Hitimisho
Ugonjwa wa Marburg ni ugonjwa ambao unafananishwa na Ebola kwa dalili zake, ila ugonjwa huu wa homa ya kuvuja damu ni ugonjwa ambao unasababishwa na Virusi ambavyo vinajulikana kwa kitaalam kama MARBURG.
Licha ya kuathiri binadamu,ugonjwa wa Marburg huweza Pia kushambulia wanyama mbali mbali kama vile; wanyama jamii ya Sokwe,Nyani N.K
DALILI ZA UGONJWA WA MARBURG NI PAMOJA NA;
1. Mgonjwa kuanza kuvuja damu maeneo mbali mbali ya mwili yenye uwazi mfano;
Mdomoni,Puani na masikioni
2. Mgonjwa kuanza kujisaidia haja kubwa ya maji mengi (kuharisha maji mengi)
3. Mgonjwa kupatwa na hali ya kichefuchefu pamoja na kutapika
4. Joto la mwili la Mgonjwa kupanda au Mgonjwa kuwa na homa
5. Mgonjwa kupata uchovu sana katika mwili wake pamoja na mwili kukosa nguvu
6. Mgonjwa kupata maumivu makali kwenye misuli ya mwili,joint pamoja na viungo mbali mbali vya mwili
7. Mgonjwa kukosa hamu ya chakula
8. Mgonjwa kupata maumivu makali ya tumbo
9. Mgonjwa kuhisi hali ya vichomi
10. Mgonjwa kupata maumivu makali ya kichwa mara kwa mara
Ukiona dalili kama hizi wahi Mapema hospitalini.
0 Comments
WEKA COMMENT HAPA..!!!